Thursday, 27 March 2014

LIEBSTER AWARD.......
R U L E S/ S H E R I A:

1. Provide a link back to the blogger who nominated you. / Muandike mtu wa blog ambaye alikuchagua.

2. Post 11 random facts about you. / Uandike vipi vya ukweli 11 kuhusu mwenye.

3. Answer 11 random questions set by the blogger who nominated you. / Ujibu maswali 11 ambayo alokuchagua kauliza.

4. Nominate 11 bloggers with under 200 followers for the award (excluding who nominated you) with 11 questions for them to answer. / Uchaguwe watu 11 (akiwa hayumo alokuchagua wewe) walokua hawaja timiza watu 200 anosoma blog zao, na uwaulize masuwali 11 pia.

5. Let the nominees know that you have nominated them. / Uwajulishe watu ulo wachagua.


I was nominated by the lovely Sarah from M O L L Y + B E A N S (Amazing blog you should definitely check her out)


Mimi aliteuliwa na Sarah kutoka M O L L Y +  B E A N S (blog lake zuri sana unapaswa dhahiri  kwenda kuangalia)


F A C T S / U K W E L I:

1. I love learning about other people's cultures. / Napenda kujifunza utamaduni watu.

2. I am really anti-social. / vigumu kwangu kuendelea kuwasiliana na watu.

3. I Love the beach. / Napenda kwenda baharini

4. I can't swim. / sijui kuogelea

5. This is my favourite number. / Naipenda namba hiyi 

6. I am very easily distracted. / Iko rahisi sana kwamie kuanza kitu nsimalize.

7. I want to change the world and if I can't change the world, I want to change  someone's world. / Nataka nibadilishe dunia nakama siwezi kuba dilisha dunia, nataka nibadilishe dunia ya mtu. 

8. I speak to myself when I'm alone. / Naongea pekeyangu kama hapana watu.

9. I over think EVERYTHING! / Nafikiria vitu sana!!

10. I love seafood. / Napenda samaki


11. Being African is my favourite thing about me. / Kuwa muafrica nikitu kimoja ambacho nakipenda kuhusu mie.  

Q U E S T I O N S:

1.  What is your favourite piece of clothing currently? / Nguo gani unayo ipenda sana siku hiz?
My over sized vintage denim shirt, I've been rocking this bad boy forever now. You know when you're not feeling anything in your wardrobe? well this shirt I am never not feeling it and it's one of them piece that goes with everything I have.

Shati yangu ya jinzi, naivaa kial siku. Na nikiwa niko kwenye zile siku ambazo sijikii kuvaa kitu kwenye kabati langu, shati hiyi ina niokoa kila wakati.
2.  Do you have any pets? / Je, una mnyama yoyote?
NO, no pets.
Sina.
3.  What was your favourite holiday? / Holiday yako gani uliyo ipenda sana?
After I finished my studies in 2012 I went travelling around east Africa for three months, It was an amazing experience, learned so much and discovered myself (showed me how proud I am of my heritage and love being who I am) It gave me the chance to see how unique and different I really am, one of the things that makes me stand out.......hence why my Blog is written in two languages.  I LOVE IT!

Baada ya kumaliza masomo yangu mwaka 2012 nilikwenda kutembea Afrika kwa miezi mitatu. Nilijifunza mengi na nka jigundua mwenyewe na kunifanya niupende urithi wangua. Niko mswahili na napenda mwenye.........na hiyo ndio sababu moja kwenye mengi ambayo nandika blog yangu kwenye lugha mbili.

4.  Sweet or Savoury? / Sukari au Chunvi?
Sweet.  Sukari.

5.  Why did you start a blog? / Kwa nini ulianza kuandika blog?

I've been reading blogs and watching YouTube channels for like ever now, and being a lover of fashion, beauty and art I wanted to be a part of it as-well. I didn't have the guts to start a YouTube channel so I started a blog. :D

Niko nasoma blogs na nangalia video katika YouTube mda mrefu sasa. Na kuwa mpenzi wa mitindo, uzuri na sanaa nilitaka na mimi katika yatu wano andika, Na pia nlikua naona haya ya kuweka video....sina nguvu hizo.
  
6.  What is your favourite TV programme? / Kipindi gani unaki penda kwenye TV?
I have so many....currently I am hooked on Revenge.
Natizama vipindi vengi lakin kwasasa ivi nakipenda kipindi kinacho itwa Revenge.
7.  How do you stop the hiccups? / Una nyamazisha vipi kekefu?
Drink water from the wrong side of the cup. 

Kunywa maji kutoka upande wa pili wa kikombe.
8.  What is your favourite drink? / Ni kinywaji gani unayoipenda?
Hot water. Lately that's all I've been drinking really.

Maji ya moto. kusema ukweli ndo nnayo kunywa tu siku hizi.
9.  Name {3} things you would need to have with you if you were stranded on a desert island. /  Taja mambo matatu utakayo chukua ukiwa umepotea kwenye kisiwa peke yako?

Chocolate, My Camera and My bed

Chocolate, Kamera yangu na kitanda yangu

10. What makes you happy? / Nini kina furaha hisha?

I am going with something that's so cheesy but so true. My mum, seeing and making my mum happy brightens up my day. 

Mama yangu, kuona mama yangu na furaha ina nifurahisha moyo wangu. yeye ni muangaza wakivuli changu.
11. What is your favourite song currently? / Wimbo gani unao upenda sana saivi? 
Most played songs on my playlist are Diamond - Number one (Swahili song) and Charly Black - Wine and Kotch. / Nyimbo ambazo naskiliza sana saivi ni Diamond - Number one na Charly Blck - Wine and Kotch.I  NOMINATE / NA WACHAGUA:
Bethany Eales from Bee-bop-a-lula
Kate Johnston from The Makeup Diary
Tammy Joy from Tammy Joy
Katya Varbanova from Home 14
Morgan Kirk from The True Life of KMK
Christal & Christina from Twin Vibes
Ekaterini Florou from ekaterini florou
Livvy Smith from Real Dreamer
Swahili na Waswahili
swahiliworldplanet
Swahili SisYOUR QUESTIONS / MASWALI YENU NI:

1. Why did the chicken cross the road? / Kwanini kuku kavuka barabara?
2. When did you last laugh? / Siku ya mwisho ulo cheka?
3. What was the last film you saw / Mchezo gani wamwisho tizama?
4. If you could change one thing about the world, what would it be? / Kama ungeweza kubadilisha jambo moja dunia, utabadilisha nini?
5. What did you want to be when you grow up? / Je, unataka kuwa nini ukiwa mkubwa?
6. What inspires you? / Nini kinakupa msukumo?
7. Sunrises or sunsets? / Jua zama or Jua toka?
8. What language you would like to master? / Lugha gani ungependa kuongea?
9.What's your pet peeve? / Kitu gani kina kukera sana?
10.  What was the last book you read? / Kitabu jani cha mwisho ulosoma?
11. 5 things you can't live without? / Mambo 5 huwezi kuishi bila?


G O O D   L U C K   E V E R Y O N E !

f a b u l o u s f a a...x x x
6 comments:

 1. Congrats on the fun award!


  www.Blessherheartyall.com

  ReplyDelete
 2. Congrats on the award! :)

  But, I've also nominated you for the very inspiring blogger award. :) You can check out my post here!

  http://letsgetonwiththatbucketlist.blogspot.com/2014/04/very-inspiring-blogger-award.html

  Keep on blogging!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Thank you so much really appreciate it.....and will definitely check it out. :)

   Delete