Friday, 16 May 2014

SUMMER LIPS.....


So I'm very excited for summer and I can't wait for it to come, but while I'm waiting impatiently I thought I'll share with you some of my favourite Spring/Summer lipsticks. 

Lipsticks are my favourite part of my make-up, I love to keep my whole make-up natural and let the attention be all on my lips. The way I see it........You can never have too many Lipsticks!!

Hope you like this and if there's other lipsticks you think I should try let me know in the comments. :D


S W A H I L I

Siku za jua zina karibia na mimi mwezenu siwezi tena ku vumilia tena hata kidogo. Kwaivo kuji tarisha mwenye nime chagua baadhi ya rangi zangu za mdomo ambazo napenda kuvaa sana wakati wa summer.

Rangi za mdomo ni kipambo kimoja ambaya napenda kwenye vipambo vyote. Niki chitia make-up napenda sana kufanya uso wangu simple na rangi zote ziwe kwenye mdomo......na nnavo ona mie mwanamke hawezi kua ana lipstick nyingi!

Natumai kua mutaipenda post hiyi nakama una rangi ya mdomo ambayo unaipenda sana, miandikie chini hapo ili namie nijaribu.MAC ~ All fired up

Buying pink lipsticks, I have always straggled to find one that actually looks pink on me. this lipstick is perfect, when I wear it you can tell I am wearing a pink lipstick and it's matte so that's a bonus because I love my mattes. The only downside I guess is that it does come off really fast through-out the day and have to keep re-applying. (which is something I wasn't expecting from a mac lipstick)


Kila niki nunua rangi ya mdoma ya pink nakua napata shida kupata rangi amabayo ina onekana kwenye mdomo, lakin rangi hiyi nime ipenda sana kwa sababu niki jitia unaona asa kwamba nime jitia rangi ya pink. Na nimeipenda zaidi hiyi kwa sababu sio lipstick yaku shine. Kitu kimoja tu ambacho sija penda kuhusu hiyi rangi ni kwamba ina toka kila wakati, sija tumai kuwa itakua hivi kwasa babu ni MAC.

MAC ~ Brave

I love this lipstick.......nude with a hint of pink it's the shade for me and what makes it 10 times better is that it's long lasting. I only put on this baby once and I'm good to go the whole day. 


Naipenda sana rangi hiyi, iko rangi moja na mdomo wangi kwaivo naweza kuivaa na look yoyote ntakayo jipamba. Na sababu nyengine niliyo ipendea sana lipstick hiyi ni kua ukisha itia mara moja haitoki tena siku nzima.
MUA Luxe Velvet Lip Lacquer Criminal: 


"A shocking pink" this baby is hard not to notice when worn! It's bright, long lasting and only for £3.00.....worth every penny. The downside to this is that it dries really fast when putting it on and gets really tacky and becomes hard to blend. But what I do is put a little bit of Vaseline on it and it's perfect.

Rangi hiyi ukijitia ina onekana ukitokeza tu. Ina ngy'ra, ukitia haitoki siku nzima na katika yote ayo nili nunua kwa £3.00 tu!!! Lakini kitu ambacho nilipata shida na lipstick hiyi ni kwamba ukijipaka ina kauka haraka mpaka unakua huwezi kui blend vizuri na ina anza kunyata nyata. Lakin nimepata ufumbuzi mzuri, ukijitia Vaseline kidogo tu inakua nzuri.
Avon Ultra Colour Absolute Lipstick ~ Smooth Plum

I can honestly say this is my favourite out of all these. It's an amazing colour, long lasting and the very best thing about it is that it's PERFECT for the summer time because it has Collagen, Vitamin E, Vitamin C and SPF meaning it's deeply moisturising and protects your lips even after you've taken it off.Katika rangi zote hizo naweza kusema kwamba hiyi ndio rangi nnayo ipenda zaidi ya zote. Inadumu mda mrefu na iko nzuri sana kwa siku za jua kwa sababu  ina Collagen, vitamini E, vitamini C na SPF hizi zina maanisha kwamba ina moisturise mdomo wako na kuulinda hata baada ya kujitoa lipstick. Revlon Colour Burst Matte Balm ~ Shamless

This is a lovely lip crayon, it goes on really smooth and soft. It's amazing that it has a matt finish but does not dry out at all. And the colour is beautiful, I call it my "darker the berry the sweeter the juice" lipstick. :D  Rangi ya mdomo hiyi naipenda sana, Ina pakika vizuri na kilaini. Na uzuri zaidi ni kwamba ina finish ya ukavu lakin hai kaushi mdomo hata kidogo. Na rangi yake masha allah naipenda sana!!.


Saturday, 19 April 2014

10 THINGS THAT MAKE ME HAPPY........
This blog post is an entry for Shirley from Shirley's Wardrobe give-away for hitting 300K+ subscribers on her YouTube channel. (Congrats!!!)

Now the entry was to write one thing that makes you happy under the video or on one of her social media websites (Instagram, Twitter or Facebook). I really liked the idea of thinking of all the things that made me happy that I thought rather than writing one thing that makes me happy instead do a blog post on 10 things that makes me happy. So this is like 10 HAPPY facts about me :D. 

I hope you really like this and if you don't already know about Shirley's blog and YouTube channel, 1st of all WHY?! and 2nd be sure to check her out she's really cool.

1. Chocolate   2.  Painting  3. Walking barefoot   4. Old books 5. Beaches  

6. Finding make-up that works  7. Traveling   8. Sunrises / Sunsets

9. Shopping  10. Seeing my mum happy.
S W A H I L I


Post hiyi ya leo ni ya kuingia kwenye ushindani wa Shirley kutoka kwa Shirley's Wardrobe, anaye towa zawadi kwa kutimiza wanachama 300K+ kwenye channel yake ya YouTube. (Hongera sana!!)

Sasa kuingia kwenye ushindani anataka mtu andika jambo moja ambalo lina mpa furaha moyoni, uyandike mambo haya chini ya vedio yake au kenye mitandao yake mengine (Instagram, Twitter au Facebook). Idea yake nili ipenda sana na wakati nafikiria mambo yote ambayo yananipa furaha moyoni nilipata wazo, kwanini nisi andike kwenye blog. kwa sababu hivi napata kuingia kwenye huu ushindani napia munapata kunifahamu kido :D

Kwaivo hivi ni vitu 10 ambovo vina nifurahisha sana!!
Natumaini muta ipenda post hiyi na kama bado juwahi kumsikia Shirley na channel yake, kwanza kwnini?? na pili jitahid uka angalia huto kua disappointed.1. Chocolate 2. Kuchora 3. Kutembea miguu chini 4. Vitabu vya zamani 5. Kuwa Baharini

6. Kupata vipodozi ambavo vina nifaa 7. Kutembea 8. Kuona jua lina tua au lina zama.

9. Kwenda Madukani 10. Kumuona mama yangu na furaha.Monday, 7 April 2014

TAKE TWO......
Just another way I rocked my Asda jumper. Paired it with a maxi dress and a hint of pink on the nails and lips to give the end look a little bit of glam.

S W A H I L I 

Mtindo mwengine nilova na jampa langu la Asda. Nimevalia na nguo refu na kumalizia na lipstick ya wardi pamoja na kucha, kama ni ng'arishe outfiy yote.

f a b u l o u s f a a.....x x x 

Friday, 4 April 2014

DRESS DOWN FRIDAY.......


Jeans - Primark
Jumper - Asda
Jacket - International
Shoes - Next
Bag - Next

Dress down Fridays, my favourite time of the week. After spending the whole week in business wear at work I always look forward to Fridays, only day of the week where I can wear whatever I want to work.

And today (Happy days are here again).......I went for a casual comfy look with an over sized jumper, some skinny jeans and a leather jacket to chic up the outfit a little. This is one of my go to look, And over sized and skinny jeans can't go wrong!


S W A H I L I

Vaa unalo taka Ijumaa, kwenye wiki yote hii ndio siku nnayo ipenda sana. Maana badaa yakuva mavazi ya ofisi, Ijumaa ndo siku moja ambayo tuna weza kuvaa tunalo taka kazini.

Leo nilivaa shati kumbwa, skinny jinzi na jaketi la ngozi kwasa babu nilitaka niwe comfortable lakini bado nionekane kama angalau nijitahid kidogo...Maana nakua nsha choka kuvaa smart kilasiku. Na jinzi na shati kumbwa huwezi kukosea.


f a b u l o u s f a a.....x x x